Mkazi huyu wa jiji alinaswa na kamera yetu mchana huu akiwa amedandia baiskeli ya gurudumu tatu (guta) iliyosheheni mzigo mkubwa, jambo linalohatarisha usalama wake.
Na jina Dar es Salaam linatokana na ' Bandar el Salaam' kwa maana ya ' Heaven of Peace'. Sultan Majid ndiye aliyenga bandari ya Dar es Salaam mwaka 1866. Ni bandari kongwe. Na bandari ni uchumi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.