Kamera yetu hivi ilibahatika kuwanasa jamaa hawa wakipakia Uchafu kwenye usafiri huu wa Bajaj ambao ni maarufu kwa kubebea Abiria hapa nchini,lakini kwa jamaa hawa ikawa ni tofauti na mazoea huku...
HURUMA...!!! KIJANA ACHOMWA MOTO BAADA YA KUIBA GUNIA LA MKAA HUKO MBAGALA...
kijana mmoja achomwa moto na kupoeza maisha papo hapo kwa kuiba mkaa maeneo ya Mbagala Charambe..
Kumbe ze gwandaz alilivaa vile vile mzee wetu Nelson Kholithatha Madiba Mandela!!
Hapo nawapongeza CHADEMA kwa kuvaa historia!!
Picha hii nimeipiga kutoka 8115 Orlando, Vilakazi Street...
Nissan Patrol inaonekana ni gari kiboko ya yote. Katika uwanja wa ndege wa Sharja, UAU, tarehe 22 August 2013, Nissan Patrol ilifanyiwa jaribio na kuweza kuvuta lile dege kubwa la kirusi la...
Huyu dada inasemekana yeye ndio aliyeweka record ya kua adict wa social networks like facebook, twiter, instagram, TWOO connect, badoo, g-talk, etc.. kiasi kwamba hataki kabisa simu yake ikate...
AUG232013
Seven people on board a chartered TanzanAir aircraft from Bukoba town to Dar es Salaam, narrowly escaped death when it made an emergency landing in Lake Manyara, Babati...
Katika pita pita zangu huko nji nyingine , nimekuta ingalau barabara safi, hakuna mashimo, tena ni two-way-two-lane.
Nikabaki kujisikikia miye.
Naomba anayeweza kuniambia hapa ni wapi nimpe huo mji.
Kama mtu unaweza kubuni jinsi ya kupata kipato basi mama huyu anao mradi tosha wa kumuingizia kipato kwa nywele zake Rasta ndefu kiasi hiki.
Asha Mandela (47) kutoka Atlanta, Georgia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.