Kwa Wale ndugu zetu Waislam na wasio Waislam ningeliomba wenye uwezo kipesa tuuchangie huo mjengo wa Msikiti mpaka umalizike. Malipo yenu atawalipa Mwenyeezi Mungu inshallah haya tena kwa mwenye...
Hatimaye Katie Gee and Kirstie Trup, wasichana waliomwagiwa tindikali zanzibar wamewasili nchini Uingereza kwa matibatu zaidi. Familia zao zimetoa picha ya namna miili yao ilivyoharibiwa na tindikali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.