Huyu mrembo ana trend sana huko IG naona ameanza kumpiku yule Poshy Queen.
Hivi hawa wanakula nini jamani maana sio kwa shepu hizi? Kwasasa sidhani kama kuna mrembo anamzidi huyu bibie.
Kila nikiangalia hii picha ya Shujaa Magufuli akiwa amelala juu ya jiwe kubwa mlimani, nasema moyoni " Mungu wa mbinguni ushukuriwe kwa Zawadi ya huyu Shujaa John Magufuli"
Rest in peace Shujaa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akicheza mchezo wa bao na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro wakati alipotembelea mabanda ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.