wakuu msaada,eti hili tunda linaitwaje kwa kiswahili na kiingereza?nilishawahi kulikuta mikoa ya nyanda za juu kusini,hasa kila eneo kukawa na jina lake tofauti,mwenye utaalamu naomba anisaidie...
Msanii matata wa katuni almaarufu kama Kipanya ameibuka na wana usalama barabarani.
Binafsi nimeshindwa kuelewa nini amemaanisha kwenye ujumbe wa picha kwa jamii, mwenye uelewa tafadhali...
Kwa mara nyingine tena yule mkali wa michoro ya katuni ameibuka na mzee wa kiraracha.
Hivi ni kweli kiuhalisia anaweza kuwa hadi leo hii anayakumbuka yaliyopita?
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.