Huyu mkuu kaonyesha uzalendo kuwa hata mbuyu ulianza kama mchicha so watanzania tuchape kazi ili one day tuje kuwa the super power .....najua ndugu zangu wa Belgium watapinga
Hello Gentleman and ladies,
Naombeni wenye picha za mji wa Chato atupie picha please .Sijabahatika kufika hilo Chato. Uko kama Arusha au Moshi Kilimanjaro ?
Tupieni picha niweze au tuweze kuona...
Obote - Raisi mwembamba, mjamaa wa kweli toka nchi masikini
Kenyatta - Bepari wa kweli, kibonge suti yake unatoa mbili za Obote, hata viatu havimwenei tena
Nyerere - slim fit, ufisadi kwake mwiko!
boban akiwa na mgosi kinshasa
watu wakiwa kwenye foreni ya kutoa heshima za mwisho
akipelekwa makaburini
hii ndo nyumba ya milele ya patrick mafisango
hili ndo gari alilo pata nalo ajali...
Hata sijui alipata wapi akili ya kujenga hivyo. Nyoka ndio adui wake mkubwa,lakini kadri nyoka anavyo sogelea kiota ndio hatari yake ya kudondoka inaongezeka.
Siku ya siku mayai/vifaranga vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.