Singependa kutoa Maelezo zaidi ili nisije nkakwepesha uhalisia wa Mada tajwa kama inavyoSomeka kwenye Heading.
Naomba Tujenge hoja kwani hii ni topic halali kama Topic/thread Nyingine.
Tujuzane...
Eneo ambalo ndege iliyoanguka, kutoka eneo hilo mpaka landing truck ni kama 1km. Mbele ya mabaki hayo ya ndege kuna mti mmoja ambayo unasadikiwa ndipo ndege hiyo ilijigonga na kudondoka chini.
1.Buick Riviera.... kudaadeki aisee
2.AUDI- msonyooooooooo
3.FORD!!
4. CHERY
5. @ANT- Hii hapa ni electric car. Ikiwa kwenye njia zake itaungana na nyingine...
Hoja yangu hapa sio Udini maana wengine hamkawii kusema juu la hilo hoja yangu hapa ni mavazi ya viongozi wetu KILA WANAPOONEKANA HADHARANI NI SUTI TU .HATA HIVI MARA MOJA MOJA SI MBAYA.
Hoteli ya JW Marriott Marquis iliyopo Dubai ndiyo inayotambuliwa rasmi na uongozi wa Rekodi za Dunia za Guinness kuwa ndefu kuliko zote duniani.
Imefunguliwa mwaka jana ina urefu wa kwenda juu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.