Nchi hii haishiwi vituko.
Lwakatare ashitakiwa kwa asomewa mashtaka ya ugaidi.
SWALI: Hivi huyu askari ana uwezo wa kulinda Gaidi?
Angalia alivyomzembe.
Je kuna uelewa wa maana ya Ugaidi?
kwa wale wanopenda starehe kielektroniki na hasa wengi wao wakiwa wale vijana wetu almaarufu kama 'wadau wa Division Zero' mnajua itakavyokuwa miaka mitatu ijayo!?
Angalieni wenyewe
je, hao wanaosema maendeleo wanakubaliana na haya mawazo ya King Kinya?
Maana kimsingi maendeleo ya ukweli ni yale yanayoanzia kwenye mambo ya msingi lakini kama kweli huwezi kujilisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.