1:Hapa je kuna nini?
2:Fungua macho uniaambie nini umeona
3:Umeona nini hapa?
4:Kuna ndege jamii ya kware na watoto wake wapo wangapi?hapa ufungue macho kwelikweli!
5:Hapa unaona nini...
Jamani hawa jamaa nimewapiga picha wakiwa uchi mchana kweupeeeee.
Niliogopa kuwasogelea maana nilihisi wana gonjwa la kutafuta mume.
Hebu waoneni, quality sio nzuri sana nilitumia simu kupiga...
Mkurugenzi wa Vodacom Rena Meza na Kelvin Twisa wafanya video ya Harlem shake.Bofya link hii Vodacom Tanzania - Harlem Shake - YouTube heheheHawa jamaa noma!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.