Katika kuadhimisha miaka 51 ya uhuru wa Tanzania jana Rais Jakaya Kikwete alimtunuku Nishani ya Sanaa na Michezo muimbaji mkongwe wa muziki wa Taarab nchini, Bibi Fatma Binti Baraka Khamis (Bi...
CODEBLACK WEDDING BELLS...
"If you like it then you shoulda put a ring on it!" Well, Brandy Norwood's fiance did. Music executive Ryan Press surprised his lady love with a stunning diamond...
Hawa ni baadhi ya wana Jf ambao katika jukwaa la picha ndio wamenifurahisha kwa picha nzuri na wewe kama unao wa kwako unaweza kuongezea.
1.MBUZI MZEE
2.MZIZI MKAVU
Hii imetokea kipande ya Kitonga Escarpment.
Madreva wasio waangalifu huishia hivi.
Jamaa alikuwa akiteremka na gia kuwa kabla ya kupiga breki.
Alipopiga breki , lahaula!
Mzigo ukaendelea...
Hapo ni sehemu za Tukuyu na kwa mbali milima ya Ileje at sunset.
Kwa kweli nilichofaidi wiki hii ni ndizi za matoki na kimpumu, hiyo ni pamoja na natural air conditioning ya Mzee God!
Mwenyekiti Mbowe akihutubia wafuasi wa chama chake makao makuu baada ya Lema Kurudishiwa ubunge na mahakama ya rufaa
Mwanachama akiwa na bango linalosema SAY NO TO TBC.ikumbukwe kuwa kamati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.