Jamani salamu kwenu wataalamu wa picha nimetoka jukwaa la chitchat kuwakaribisha kutoa maoni kwenye jukwaa la siasa nikaona nipitie hapa kuwaalika wote bila kumsau BUJIBUJI NA MBUZI MZEE.
Topic...
Shillingi ya Jumuia Ya Afrika Mashariki Je inaweza kututowa Kwenye Umasikini? Au ni ndio ndoto za Alinacha? Wakubwa ndio watakaofaidi na Jumuia hiyo Ya Afrika Mashariki?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.