Hili jengo si walisema linatakiwa kubomolewa...mbona bado lipo? Hili shirika bora Serikali wampe Mtu binafsi kwani Serikali imeshindwa kulihudumia ipasavyo ahhhhhhhhhhhhhhhhh
A multi-storey shopping complex in Ghana's capital, Accra, collapsed on Wednesday morning, killing at least four people.
It happened just before the Melcom department store in Accra's...
Hii serikali yetu ipo kweli...ama ndio watasema inaingilia maisha ya mtu? Huyu anakula PESA ZETU ZA KODI HUYU,ishi tena anaharibu dada zetu ...mod usitoe hizi picha nyingine hazifai wekwa hapa ni...
Wakuu nilikuwa Ujerumani ikabidi tpandishwe Airbus 380, ile ndege ya double decker kwa ngazi. Nadhani kulikuwa nahitilafu kwenye zile bridges za kupandia
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali na kumpa pole Katibu wa Mufti wa Zanzibar Sheikh Fadhili Soraga ambaye amelazwa katika chumba cha dharura katika Hospitali ya Taifa ya Muhiombili kufuatia...
Kila mtu ameweka pozi lake.
1. JK amedakwa Mkono na Bi. Shosti hapo. Kama vile anagulia maumivu ya kudakwa vile.
1a. Bi Shosti ni kama vile anamwambia "you look so cute and energetic Mr Kikwee"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.