umepanga chumba katika hoteli ya mbugani asubuhi unaamka hotelini na usingizi ukiwa bado upo kwenye macho umevaa taulo tu mdomoni una mswaki unatoka nje ya chumba chako kwenye balcony halafu...
Nimekuta hii ajali jana 22/10/2013 sehemu za msitu wa Sao Hill, hii gari ya Dalbit imehama na kumbamiza hiyo gari nyingine uso kwa uso!
Hiyo yellow vehicle yuko site yake lakini ndiyo amebamizwa...
Pichani ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Bwana Freeman Aikaeli Mbowe (wa Pili kutoka Kushoto) akiwa Pamoja na Mwanamuziki Nguli kutoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.