Inasemekana RICK ROSS ni mtanzania tena mnyakyusa kazaliwa mbeya na jina lake halisi ni ERICK MWAIROSSI baada ya kukimbilia marekani ndio akajiita RICK ROSS:
Mchek hapo:
WAFANYAKAZI WA EATV WAJITOSA NA KUTEMBEA JUU YA MOTO
Uanaume wa shoka
Wafanyakazi wa East Africa TV juzi walilazimika kutembea juu ya moto kama ishara kuwa wanaweza kukabaliana na changamoto...
Habari wana JF.. Me swali langu dogo ni kwamba kuna sababu gani za msingi kwa huyu mmama mwimbaji wa Nyimbo za Injili na mume wake kulindwa kiasi hiki??? Sijaona logic yake kwa uelewa wangu...
barabara ya kashozi mjini bukoba ikiwa imefurika waumini waliokuja kuangalia nini kinaendelea
rto kagera akiwa kazini kupanga magari katika maandamano toka kashozi kwenda bukoba mjini.
gari...
Hebu angalia tofauti kubwa iliyopo hapa chini:
Mlipa kodi
Mtafuna Kodi:
kama picha na kichwa cha habari zinavyojieleza, je una maoni gani? je umeridhika na hali hii? toa maoni yako tafadhali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.