Dada huyu ameshuka katika gari na kuanza kutembea bila shida katika mazingira ya "public".inasemekana alikuwa anatokea kwenye fiesta kuelekea Dar.wapi maadili?
Walitoa kauri ya kuwasusa maafande kwa kuto toa habari zinazowahusu
Leo Mjengwa blog,Michuzi pamoja na Jiachie wamewaweka maasimu wao
Je ni unafiki-ri au ndio sitaki nataka yao?
R I P Mwangosi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.