JAPAN
RUSSIA
MEXICO
INDIA
TAIWAN
TURKEY
BONGOLAND....Kazi ni kuombea wengine...Mzee naona yuko deep kwenye meditation hapa, akiendelea ku-meditate juu ya Posho za Makalio wengine...
kwa wale wafuatiliaji wa WWE, kuna wrestler known as brock lesnar. the next big thing kama alivyojulikana kabla hajaondoka WWE na kujiunga na UFC( Universal fighting Championship) mziki wa huyu...
Naomba maoni hakuna jazba, taratibu za kupiga picha na wake za viongozi wakuu wa nchi inakuwa zero distance, au kubanana namna hiyo? Kila upande kushoto na kulia?
Sheria imewekwa hapo tena ni wzi kabisa, hakuna kupaki magari makubwa, lakini ndo kama umewaita jamaa.
Wamejazana hapo kama kumbikumbi!
Bongo bwana balaa tupu!!
Nilikuta hii Barabara ya Sam Nujoma(wengine wanaita Cocacola Rd), jamaa hawa bila aibu toka hicho kiwanda cha Printing wakimwaga rangi au mabaki ya rangi katika mtaro wa maji ya mvua.
Hatuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.