Jamii Photos

A collection of Community Photos brought to you by our members. Enjoy your stay!
Alivyojiweka kama vile aliomba apigwe hii picha!!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ni siku ya sabasaba Sharo huyu alikutwa katika ya mtaa Msimbazi akisuburi daladala.
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Hii kitu ni nini? Wanaojua watuhabarishe, maana kitu kigeni, au ni mzinga wa nyuki mamboleo? Hapa wanasafirisha product zake Product baada ya kuwafikia wateja wanashirikishana.
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Is this really right?
0 Reactions
0 Replies
778 Views
Fuso zinanguvu aisee, cheki ilivyowabeba wenzake hapa!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Asubuhi ya leo,Semi trailer imeharibika kati kati ya bara bara pale Kunduchi Mbuyuni na dereva kaweka Triangle na kukaa pembeni. This can only happen in Bongoland!!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jino moja mswaki wa nini?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mitoto mingine bwana!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakati nyie mnajidai na magali yenu ya kifahari..sie uswahilini tushazoea staili hizi za usafiri
0 Reactions
6 Replies
2K Views
hapa ilikuwa Utaifa mbele....ufisadi nooo....NO NONSENSE ! je tuna kiongozi wa kuvaa hichi KIATU..? MY PRESIDA IS HANDSOME...??? DHAIFU JE??
0 Reactions
10 Replies
2K Views
wa tz aliewaroga amefariki
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Ufungaji huu kweli ndo unaweza kushindana na bidhaa za wenzetu?
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Picha hii ina watu wangapi?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
KATIBU WA NEC,ITIKADI NA UENEZI CCM NAPE NNAUYE AKIWA SAMBAMBA NA UJUMBE WA MJUMBE WA KAMATI KUU YA CHAMA CHA KIKOMONISTI CHA CHINA CPC LIU YUNSHAN AMBAYE PIA NI MKUU WA IDARA YA UENEZI YA CHAMA...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
foleni kwenda onesho la taarabu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hapa huyu naye yuko kazini...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom