Wanajamvi, ndiyo Uniform zenyewe hizi, ndiyo hapo utakaposhindwa kushangaa na kuanza kujiuliza hivi ni lini tutaamua kuacha kujiaibisha wenyewe kwa mambo yaliyo wazi kama hili.
seikali zao zikiwaboa basi hawaoni taabu kuingia mitaani
siku wakiamua kujenha AIRPORT hakuna cha watu wa mazingira wala nini wao wanajenga mengine baadae
Beijing Capital...
Wana JF katuni hii ilitolewa na mchoraji Masoud Kipanya wakati wa mgomo uliopita wa madaktari, lakini sasa ni wakati muafaka wa kuendelea kutafakari ujumbe uliobebwa na katuni hii.
<tbody>
Mojawapo ya picha za Mistie Rebecca Atkinson kwenye Facebook
Mwanamke mmoja wa nchini Marekani ametupwa jela miaka minne baada ya kutengeneza video ya ngono akifanya mapenzi na mtoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.