Tuwaogope sana Wanasiasa Wanao omba kura Kwa staili ya kupiga Magoti ,wanapokuwa majukwani na Wale wanao apa
Mfano Unasikia Mungu wangu Mkinichagua mimi miaka miwili Nitakuwa nimesha leta Lami...
Mifumo ya Ulinzi wa Anga (Missile Defense Systems)
Patriot "MIM-104" SAM System (USA)
===
S-300 Missile System (Russia)
===
THAAD "Terminal High Altitude Area Defense" (USA)
===
S-400...
Hili ni tangazo maarufu ambalo lilikuwa linapatikana katika hospitali zetu nchini, likisisitiza ukimya maeneo ya hospitali.
Yule mtoto sasa amekuwa mdada mtu mzima kabisa.
Dalili mojawapo ya binadamu mpumbavu ni pale anapokuwa anafanya matendo kinyume na uhalisia wake akiwa na hofu dhidi ya mtu mwingine au kujipendekeza kwa Mtawala wake. Nimetumia neno mpumbavu na...
Eeenh muheshimiwa Rais Magufuli waongezee chochote kitu hawa jamaa watatu au kwenye teuzi zako wapachike sehemu wamecheza sana leo hadi jasho[emoji847]
Sent from my Nokia 2 using JamiiForums...
Wakuu,
Jirani zetu Kenya wamepoteza daktari wa kwanza aliefariki kwa ugonjwa wa Covid 19
Dr.Doreen Adisa Lugaliki alikuwa akihudumu katika hospitali ya Nairobi South kama daktari wa Magonjwa ya...
Wakuu,
Yule Manju kama sio mbobezi wa masuala ya Fizikia na hesabu bwana Albert Einstein alipoandika papers zake ili atunukiwe shahada ya Udaktari(PhD) katika chuo kikuu cha Bern, alikataliwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.