Naomba msaada kujua Kweli Salute ni nani anapigiwa kwani hapa naona anatoa salute wakati wa kumuaga Kanumba, I think this is not right, wanaojua please enlight me.
Leo nimemuona michelle obama akiwahutubia wanajeshi waliotoka Iraq kabka ya mumewe Bari kupanda stejini,papo hapo likanijia hilo swali wat if angekua salma kikwete ?ni sauti kiasi gani zingepazwa...
Wenzetu huko South Africa hawataki mchezo linapokuja swala la ubakaji. Akina mama wanakuja juu na wanachotaka mbakaji asifungwe.. bali jambo moja tu nalo ni.... endelea mwenyewe
Huu ni mtaa sehemu ya makazi ya watu mji wa mysore India mji umepangiliwa vizuri na barabara zote mtaani zina lami,swali langu ni kwamba viongozi wetu wa Tanzania walikua wapi miji yetu ipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.