Mama yetu jana kafyumu sana................kimsingi ametuma ujumbe kwa waliomkatalia kuongeza posho.........hii video kwa kweli ina sintofahamu nyingi lakini imenitia moyo wananchi kumuuliza...
Jamni wahenga walisema kila mchuma janga hula na wa kwao, michuzi si wa bongo hii tena....pichani akiwa nchini Botswana ambako Mkulu naye alikuwa huko, kwa taarifa Michuzi ndiye moiga picha wa...
Enzi hizo kulikuwa marufuku kuendesha magari jumapili, na usafiri wa kutegemea ulikuwa ni UDA (daladala ndiyo kwanza zilianza kuruhusiwa).
Video (au VHS) ilikuwa nadra sana na kwa wenye pesa tu...
President Barack Obama (L) gives a group hug to Team America Rocketry Challenge (TARC), of Presidio, Texas, while touring student science fair projects on exhibit in the State Dining Room at the...
hii sio photoshop na jamaa sio taahira... Anaitwa Carlos Rodriguez.
Ni ajali tu ilitokea, madakitari ikabidi waondoe sehemu ya bupuru la kichwa chake.
Yaliyojiri yakajiri.
Hivi karibuni nilitembelea Selous na miongoni mwa mambo niliyojifunza ni lugha inayotumiwa na Tour Guide katika kuwasiliana pale wanapoulizana mahali walipo wanyama Fulani. Kule wanyama hawaitwi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.