Jamii Photos

A collection of Community Photos brought to you by our members. Enjoy your stay!
Pamoja na kuonekana wana thamani, sijajua biashara yake ikoje. Au ndio wanakula wenye hela? Binafsi labda uniletee nyama yake bila kujua ndio hili dude
1 Reactions
8 Replies
714 Views
Hili gari limeonekana kwenye msafara wa Rais Samia, kwa wale wajuzi wanaweza kufafanua umuhimu wake kwenye msafara wa Rais?
7 Reactions
6 Replies
1K Views
Endelea kudharau watu.
2 Reactions
0 Replies
338 Views
Jembe kama jembe. Akiamua kukutawala utaomba poh!😂
10 Reactions
32 Replies
1K Views
Picha kwa msaada wa Wizara ya kilimo kitengo cha kuhifadhi nafaka.
10 Reactions
30 Replies
2K Views
tazama Ndege huyu anaweza kua kwenye kundi gani la viumbe hai??
3 Reactions
4 Replies
707 Views
Nimetafakari na kuona mwelekeo ulivyo na pia vitendea kazi kufanana kama vile bendera zao je nikisema Yanga ni CCM na Simba ni Chadema nitakosea Naomba maoni.
1 Reactions
8 Replies
502 Views
“Did Turkey send a hitman?”: People lose it over 51-year-old Olympic medal winner with ‘no equipment’ (link in the comments) Huyu mwamba ana trendi sana kule mitandaoni.. Mwenye taarifa yake wakuu
0 Reactions
2 Replies
411 Views
Kweli mjini hakuna Mzee😂😂😂😂. Kapigwa kokoto lakutosha na Angle zimezingatiwa😂😂
9 Reactions
14 Replies
829 Views
Mliozitaka picha za Ubaya Ubwela kabla jua halijazama 😄
2 Reactions
24 Replies
1K Views
SGR DOM - DAR
0 Reactions
2 Replies
588 Views
Ukistaajabu ya waendesha boda hutayaweza ya waendesha daladala.
7 Reactions
7 Replies
758 Views
Habari zenu ndugu watanzania na viunga nyake
10 Reactions
35 Replies
2K Views
Lini Nami Nitatembea Huku......
27 Reactions
61 Replies
12K Views
Au hawakualikwa, na kwanini hawakualikwa? Je kuna ulazima wa kushirikisha watu wa Dini kwenye mambo kama haya, Kwanini? 4
4 Reactions
27 Replies
885 Views
Back
Top Bottom