Jamii Photos

A collection of Community Photos brought to you by our members. Enjoy your stay!
Nini maoni yako juu ya tabia hizi? Unatoa pendekezo gani kwa mamulaka husika juu ya tabia hizi dharimu.
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu poleni na majukum ..Tukumbushane haya mabo ya mwanga usiku,vipi wee unakumbuka changamoto gani au uzuri gani wa hv. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Kwa kwatumiaji wa Google Chrome nadhani mtakuwa mnakafahamu vizuri haka kajamaa kanakotokea wakati kukiwa na shida ya mtandao wa Internet. Sasa leo bwana nikasema ngoja nikaguse haka kajamaa...
23 Reactions
71 Replies
9K Views
Check out this Picture of 17 models that looks like a wrecked car: What you see above is a record-breaking illusion created by a 42-year-old Australian artist, Emma Hack. Emma Hack is...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Luna picha naitafuta wadau Maandishi yake inaanza na neno The law of karma baadae inafatia maneno ya This universal law state that every action has reaction baadae yanafuatia maneno flani...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni matumaini yangu uko salama na mzima wa afya na kama sio mzima wa afya basi Mungu wangu akulinde na akujulie afya njema [emoji120][emoji120]. Tumwombe Mungu atuepushe na hili janga la...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Tshutuka Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
0 Reactions
1 Replies
902 Views
Hii clip nmecheka sana polisi kamkimbiza mtuhumiwa hadi akanyoosha mkono juu[emoji23] Ova Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Miji kibao USA sasa hivi imefurika watu maandamano, vipi kuhusu Corona na social distancing tuliokuwa tunaambiwa?
4 Reactions
35 Replies
3K Views
Hapo lazima ukimbie tu
0 Reactions
21 Replies
2K Views
nimecheka sana nilipoisikiliza lafudhi ya huyu jamaa..., anaonekana mwenye furaha sana.
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Hii hapa rekodi nyingine tena inawekwa na Guinness World Records mnamo October 8, 2010. Ni katika nchi ya Uturuki. Jumla ya wapishi 50 walikusanyika kwa pamoja kuweka rekodi ya kupika chapati...
6 Reactions
25 Replies
4K Views
[emoji847][emoji847][emoji847] Kwenye hii picha naona: 1.Respect 2.Usikivu 3.Appriciations
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Amesheherekea siku yake ya kuzaliwa, amezaliwa mwaka 1970, ametimiza miaka 50, japo watu wengi hushangazwa na umbo lake kuwa kama binti mdogo
4 Reactions
78 Replies
13K Views
Inafurahisha sana kuona baadae kidogo mambo yatakuwa mazuri.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom