Jamii Photos

A collection of Community Photos brought to you by our members. Enjoy your stay!
American Marines help pull down the statue of Saddam Hussain (Pic: M)
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna watu wana tabia mbaya.. wakipita karibu maduka hasahasa yanayouza nguo na viambatanishi vyake, wakaona mdori uliovishwa nguo, basi kama ni mdada hujipitisha na kumvua titi moja libaki nje, au...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Mkoa Ruvuma Bi. Aziza Luttala ,akimuapisha Diwani wa Kata ya Matimila kupitia Chama Cha Capinduzi(CCM), Bw. Menas Komba, juzi katika Ofisi za Halmashauri ya Wilaya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
katika pitapita yangu nimekutana na picha hii... sijui ina ujumbe wowote kwa magwanda? naomba mwenye kujua kuhusu hiyo picha anisaidie kujua zaidi pia
0 Reactions
17 Replies
4K Views
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Unaweza ishi katika nyumba kama hii?Tafakari,halafu chukua uamuzi.
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Alishawahi kuonja siasa za maji taka a.k.a siasa uchwara. ila ni gamba linalojua kuupimia upepo unakoelekea.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna kazi nzito ya kuelimisha vijana kutotumika kwa utaratibu huu kwa manufaa ya vizito wanaolinda na kutetea nafasi zao.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Leo hii ikiwa kwapa linaloonekana na kila mtu limeachiwa lina titirika mijasho hali kama hiyo ,jee hizo sehemu za geza ulole zitakuwaje?
0 Reactions
25 Replies
13K Views
One die, million cry. Million die, no one cry.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Motorola MicroTAC hii ilionekana Poa Baadae ikaja Model Mpya yake Ikaitwa Star Tac Ukiifunika inatoa mlio wa Tac Poa Sana Nokia 101 Ilikuwa lazima ucharge kila siku ukitoka job NEC P100 hizi...
0 Reactions
18 Replies
9K Views
Mbunge mteule wa jimbo la Igunga, Dk Dalaly Kafumu (CCM) akisalimia wananchi katika mkutano wa kumkaribisha jijini Dar es Salaam, leo kwenye Viwanja vya Bakhresa Manzese. Kushoto ni Mke wake...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hakuna sababu ya kuingia gharama zisizo za lazima wakati uwezo wako na nafasi yako inakuruhusu kiwango hiki, hapajaharibika neno maana kila hali imeonyesha kukidhi hadhi.
0 Reactions
15 Replies
3K Views
<tbody> Ln Wengi mnamkumbuka mwalimuNyerere mie namkumbuka Pope kwa kazi yake aliyoifanya ambayo mwalimu Julias hata robo yake haifiki...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
WAZUNGU KWA MICHEZO SI MCHEZO HUYU KIJANA ALIKUWA NA MIAKA 24 KARUSHWA KAFA NA SISI KWANINI KAMA MPIRA WA MIGUU HATUUWEZI TUSIBUNI MICHEZO MBADALA
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Madaktari wa Hospitali ya Holy Family (HFH) mjini hapa wanapigania maisha ya mtoto aliyezaliwa Septemba 25, mwaka huu akiwa na sura mbili na uzito wa kilo 3.2.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Naibu Waziri wa Ujenzi, Dkt.Harrison Mwakyembe wakati alipomtembelea nyumbani kwake Kunduchi Mtongani, jijini Dar es Salaam juzi.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
hii ni zaidi ya furaha..au wewe unasemje?
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Ulimwengu wa leo tekinologia ya digital inaenea kwa kasi ya ajabu, kwani haichagui nahali, watu, rika nk
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom