Wadau nimekutana na hii picha mtandaoni ikionyesha ugeni aliokuwa nao JK kule New York. Mgeni wa JK alikuwa kiongozi wa waasi wa Libya ambaye kwa sasa ndiye Rais wa serikali ya mpito (Mustafa...
R.I.P Prof. Wangari Maatai, mwanamke wa kwanza kupata Phd EA, nakukumbuka ulivyopambana na utawala wa imla wa Toroitich Arap Moi,
nakukumbuka kwa kutetea haki za akina mama pamoja ma mazingira kwa...
Wakuu nilikuwa najaribu kuangalia ullinzi wa mwanamuziki wa Marekani Shaggy alipotembelea nchini Kenya. Ukijaribu kuhesabu walinzi aliokuwa nao, utagundua kuwa hata IGP wetu hana huo ulinzi. Je...
Wakuu,
Wakongwe kidogo kama mimi mnavikumbuka vitanda vya namna hii?
Mi nakumbuka tumevitumia sana enzi hizo, hata wazee wetu tulikuta wanavitumia!
Ninachojiuliza ni kuwa wazungu walikuwa na...
What else did they expect! Revellers pass out in the gutter and stagger around without trousers, after nightclub's 10p-a-drink offer
After paying £5 entrance fee, drinkers could buy a pint of...
Jana usiku star tv walifanya mahojiano na msanii wa filamu za kibongo jaqline pentel. Angalia kivazi kinakera na wahusika hawakustahili kumhurusu kuja studio na aina hii ya kivazi.
Rais akiagana na dada aliyekuwa mhudumu wake katika hoteli hiyo.
Nimeshindwa kuelewa mbona huyo dada kamtazama membe kama ana ugomvi naye? au wewe unaonaje? dah! hata hivyo Rais wetu anafaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.