Jamii Photos

A collection of Community Photos brought to you by our members. Enjoy your stay!
hali ilikuwa tete nungwi mungu awatie nguvu!
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Unakumbuka ukiwa mtoto ukiangalia movie kali basi ukitoka hapo unataka na wewe kujida Rambo...Van Damme...Solo... hapa dogo huenda anajidai Rambo anakimbia (slow) kabla bomu halijalipuka... hapo...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu Nilipigwa na butwaa baada ya kukutana na nyomi hiyo hapo jana pale pamba road ikimusindikiza wenje toka mara baada ya kuhutubia pale uwanja wa sahara
1 Reactions
38 Replies
13K Views
Check out the attached document herein.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
hapa jamaa alikuwa anaokoa maisha yake nadhani kwenye meli ya juzi sina uhakika
0 Reactions
5 Replies
2K Views
nakumbuka enzi hzo mnawakuta form 3 na 4 ndo wababe wa shule full utemi unatumwa kwenda kununua vitu vinvyozidi gharama ya hela unayopewa na kaka wa form 4. mfano anakupa sh 50 af anakwambia...
2 Reactions
26 Replies
4K Views
Joseph Mwangi, 34, sits in a state of shock after discovering the charred remains of two of his children, one aged 6 the other of unknown age, at the scene of a fuel explosion in Nairobi, Kenya.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hadithi njoo, uwongo kolea Uchaguzi njoo, ahadi kolea CCM njoo, fulana na kofia kolea Nape njoo, ubwabwa kolea Rostamu njoo, takrima kolea Kampeni njoo, shibe kolea
1 Reactions
14 Replies
2K Views
<table style="width: 491px; height: 277px;" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr><td colspan="3" style="padding-left: 10px; padding-top: 5px; width: 491px;"></td>...
1 Reactions
38 Replies
10K Views
0 Reactions
0 Replies
1K Views
0 Reactions
1 Replies
1K Views
0 Reactions
1 Replies
898 Views
Muda muafaka wa kupata lunch. Nasema tena karibuni
0 Reactions
10 Replies
2K Views
<tbody> Zaidi ya watu 120 wameteketea kwa moto Kenya Monday, September 12, 2011 8:12 PM Mtu aliyewasha sigara wakati watu wakiiba mafuta toka kwenye bomba la mafuta lililopasuka alisababisha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hawa Ghasia amkabidhi Mark Mwandosya salamu toka Baraza la Mawaziri, huko India kwenye Hospitali ya Appollo
1 Reactions
18 Replies
3K Views
KAMA TUTAENDELEA KUAMBIWA TUWE WATULIVU WAKATI SERIKALI INASHULIKIA NA ITAUNDA TUME BASI NAWAAMBIENI HATUTAFIKA
0 Reactions
3 Replies
2K Views
LUNCH NJEMA WAPENDWA MSIGUSE HII MAMBO WAKATI WA KAZI
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Picha hii nimeipata kutoka blog moja. Haina maelezo. naomba kujua hawa watoto waliolazwa hapo chini ni majeruhi au marehemu? asanteni inasikitisha.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa mawazo yangu kuhusu hii Video inaonyesha Daktari wake Michael Jackson alichangia kifo chake kampa mavidonge mengi pamoja na doze ya sindano ........ Daktari muuaji huyo.........
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Back
Top Bottom