Kwasababu madawati ni tatizo la kudumu katika shule za watotowetu napendekeza haya: -1=kila mbunge ,mkuu wa mkoa,mkuu wa wilya,wakurugenzi,manaibu waziri,wafanya biashara...
Nilitegemea Jk Atakuwa alisafiri kuhudhuria Hafla ya Kutangazwa Taifa Jipya la South Sudan lakini Sijasikia Hilo Jambo. Duh! Nimestaajabu au Pengine amesikia Nchi hiyo ipo hohe hahe! Haina hadhi...
Huko ulaya mambo ndo yanazidi kuongezeka ,ndege ,vyombo vinavyokwenda anga za juu,magari/treni za umeme na sasa magari yanayopaa.sisi tunabaki kuruka na ungo na kwenda samunge badala ya kufanya...
Mhandisi Mkuu wa Uendeshaji kutoka kituo cha kuzalisha umeme kwenye bwawa la Mtera, Julius Chomolla akitoa maelezo kuhusu kipimo cha kuonyesha maji yamejaa katika eneo hilo. Katika kiuto...
Wadada na Wamama wa kibongo,
Ingeni mfano wa wazee wetu - Upendo huu ni wa kufa na kuzikana, hapa mama winnie hana kinyongo kaenda kumpa Congra. Mzee mwezake na mume wake wa kwanza Nelson, ili...
Kampuni ya Terrafugia huko Marekani imebuni gari linaloweza kuruka,kupambana na foleni barabarani,gari hilo lenye kuhitaji mita 518 kwa ajili ya kuchukua kasi ya kuruka!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.