Is daladala realy is a loss bussiness au watu wanaongea tu? Nimesikia you can make over 100,000tsh au even more kwa siku. Nataka kumshawishi baba anunue daladala. Anyone with an idea?
In one exibition final assessment a certain painter coming from arich family that did not like the boy to engage in the artist profession,i recall they rather bought the examiner and in his...
Kwa walio mwanza... hata juu ya mawe waweza kuweka kitu kikakubalika. Ni kiasi cha kufanya utafiti, kutafuta pesa na kuwa na wataalam mahili. Mfano ni huu hapa nawapeni
Jamani yaani nikiona mke wangu amekasirishwa na kitu basi hii picha inatuliwaza sana
huwa namwambia na sisi ipo siku mmoja wetu atakuwa akila usingizini kwenye mkutano kama hivi akimuwaza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.