Wakazi wa Dar es Salaam wakivuka Mto Tegeta wakiwa wamebebana baada ya daraja linalounganisha Salasala Kilimahewa na kulangwa Goba kubomoka.(Picha na Robert Okanda).
hali hii huwa inajirudia wakati wa siku kuu zozote kubwa za kidini. Picha hizi ni kutoka kwa Mroki za siku ya ya Pasaka iliyopita. Wakati wa Dar ambao wamezoea kinyaa wanaendelea kuwachagua watu...
Mwimbaji maarufu dunia Shakira akimpa pole mpenzi wake mpya Gerard Pique ambaye ni mchezaji wa Barcelona baada ya Barcelona kufungwa na Real Madrid ambayo ilitwaa kombe la Copa del Rey baada ya...
RAIS Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipiga ngoma muda mfupi baada ya kuwasili katika hoteli ya Kilimanjaro Kempinski kuhudhuria kikao cha Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki...
Vijana wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Azania Front, mjini Dar es Salaam wakiigiza sehemu ya mateso ya Yesu Kristo wakati wa Ibada ya Ijumaa Kuu iliyofanyika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.