Naona Raisi wetu yupo busy siku hizi kila kukicha kujihusisha na wazungu au wageni kutoka nje...!
Siku hizi kama hajasafiri basi yupo busy ikulu akikaribisha wageni au yupo na mabalozi wao...
Mungu amefanya haya Misri ili askari polisi wa Tanzania nao wapate kujifunza. Maandamano yaliyotokea arusha hakupaswa kufa mtu ndugu zangu. Uhai ni wa Mungu na yeye ndo mwenye kuitoa roho ili...
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akizungumza na Spika wa Bunge Anne Makinda (kulia), Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dk Mary Nagu (kushoto) na Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid baada ya kufunga semina...
katika mambo ambayo mwalimu Nyerere alipata sifa zaidi wakati wa uongozi wake ni kuwa na serikali inayowajali wananchi kwa vitendo. Jionee maghala ya chakula yaliyopo Iringa,kwa sasa ni...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Amani Abeid Karume (kushoto) akisalimiana na Makamu wa Mwenyekiti wa chama hicho Tanzania Bara, Pius Msekwa wakati wa uzinduzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.