Hatimaye kambi ya Kisura yaanza rasmi leo katika hoteli ya Kiromo Bagamoyo. Visura wote wamewasili kambini salama huku yule mshiriki kutoka pande za Monduli akisindikizwa na walinzi wawili au...
Unakua mtu ana bonge la avatar na anachat kwa msg tamu tamu hadi unaingia line ukijua umeopoa kifaa. Weingi huwa waongo, cheki huyu jamaa anavyojipandisha chat...
Hivi kwa hali hii ni wapi tunaelekea. Tofauti ya Matajiri na masikini, walionacho na wasionacho...!
Hii ndio taswira ya maisha ya sasa...! So sad.
Angalia tofauti iloyopo...!