Huyu ndie tunamtegemea kua kiongozi wa kesho akishamailza shule! Kweli tutaboresha shule zetu kua na kiwango chenye hadhi kama vile vitabu/madawati na mazingira bora ya kujisomea? Tafakari sana!
Rais Jakaya Kikwete akipokea zawadi ya mchoro kutoka kwa Angela Kairuki, Mbunge wa Viti Maalum (CCM) kwa niaba ya akinamama wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), wakati wa...
Namkumbuka this lady enzi za uhai, alikuwa mpiganaji wa haki za vijana na mwenye moyo wa kujitolea pale alipoweza. Mwenzetu katangulia mbele ya haki tumuenzi kwa kuendeleza aliyoyaanzisha.
Wabunge...
Kuna haja ya serikali au hata sisi vijana kupeana mafunzo jinsi ya uokoaji pindi ajali ya moto inapotokea. Mara nyingi watu huitikia mwito wa kuokoa vitu kwenye ajali ya moto lakini kwa kukosa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.