Nilikutana na huyu mwana sisi m akiwa katika mavazi yake ya chama chake lakini aliniambia wazi kwamba hampendi Kikwete bali anampenda Dr Slaa kwani alikuwa kavaa badge ya Chagua Slaa.
Hii ndio...
Ahadi nyingi zimekuwa zikitolewa na wagombea wa CCM kuwa wataboresha huduma za afya, huku JK naye akisema atapandisha hadhi baadhi ya hospitali kuwa za Rufaa. Huo muda waliokuwa nao walikuwa wapi...
Hiyo glass ya maji haiko clear ina glucose kumpatia nguvu mheshimiwa afya yake bado mgogoro, jamani tumsaidieni huyu JK apumzike atibiwe vizuri WaTZ tumchague Dr.Slaa
Tunatoka mbali, angalia miujiza ya mungu, tumbo la picha ya kwanza ndio hilo la mtu huyo huyo picha ya pili akiwa kashiba. Alikuwa miss tourism Angola 2006
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.