Naona siku hizi na mambo ya utandawazi watoto wameanza kujua mambo makubwa wakiwa wadogo kabisa. Sasa mwangalie huyu anavyoangalia nyonyo kwa jicho la tamaa utafikiri "akipewa" ataweza vile.
ni maandalizi ya vita ama nini??
maana kila kukicha lazima ukutane na mahandaki kama haya ambayo yamejaa katika kila kona ya jiji letu hili,wenye data na mahandaki haya tumwagieni hapa...
hawa jamaa they have become very popular all over the world kiasi kwamba hata makampuni ya matangazo ya ulaya kuamua kutumia nembo yao..teh! , kama kuna mtu aliona ya CCM aiweke...teh!