Jamani, kweli nashindwa kupata uelewa. Ni jinsi gani huyu kijana anatukuzwa kiasi hiki!!
Hawa vijana wanatakiwa wawe madarasani, lakini wameenda kuvalishwa sare za kijani bila hata kujua kuwa...
Kwenye moja ya safari zangu nilimkuta kijana ( pichani) akitoka shuleni. Kichwani amebeba kifurushi cha unga wa mahindi. Miguuni amevaa makatambuga. Yawezekana kabisa aliambiwa; " Ukitoka shule...
Baada ya mabadiliko yaliyofanywa kwenye website hii, naona picha zingine ni ndogo (thumbnail) na nyingine ni kubwa zinaonekana vizuri. Hivi ni kwa njia gani mtu anaweza kuweka picha itokee kubwa...
NAAM TUJIKUMBUSHE ENZI HIZO ZA MIAKA NENDA
NAAM HAPA ZANZIBAR IKIWA NA GARI MOSHI MIAKA YA 1900 NA KENDA, JAPO NYMBA ZAO FULL SUIT
NAAM MASHINDANO YA NGARAWA YAKIFANYIKA FORODHANI, ENZI...
Hivi ukaletewa picha ya mama/baba watoto wako ukaambiwa ushahidi huu hapa tumemfumania utakubali ?, ukizingatia katika dunia ya leo hata umkute "live" atakanusha kama movie za wanigeria......"I...