OOOH! i remember wen dayz had its charming..... siku hizi hii mi tekinolojia yenu imeharibu mambo kabisa..... mwenyewe nilimvizia natasha njia ya shule nikampa hii barua... anyway usiulize jibu...
Mwanafunzi wa Darasa la sita katika Shule ya Msingi Manzese, jijini Dar es alaam, Ally Omary leo mchana aliopolewa na wasamaria baada ya kuzama kwenye bwawa la maji lenye kina kirefu lililopo...
Mwaka huu lazima kieleweke maana wenye nchi wamewekeza kila kona hadi kwenye buti, yaani ni hatoki mtu.......hii ni daliili tosha kuwa wanahaha wakitafuta kila njia kujiweka pazuri...kazi ipo..
hivi dada zangu msipojipaka hiyo "milupostick" huko midomoni mnadhani hatutawapenda............?
why painting urself like a clown...............?why..............?
au mpake zile lipshine za...
Jamani hata kwenye salamu unaweza kucheza rough jinsi hii. Mwachie mwenzako naye asalimie maana mkono utauma. Kutokana na rough kama hizi mnaweza kutegemea lolote November '10
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.