Jamii Photos

A collection of Community Photos brought to you by our members. Enjoy your stay!
Hakika kifo hakina huruma, hakina saa wala notisi.Kilichomtokea mzee huyu leo asubuhi pale Ubungo Bus Terminal kinasikitisha sana. Mzee wa watu, ametoka nyumbani kwake asubuhi na mapema...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Sorry pictures zimegoma. Hope wataalamu watatusaidia katika kuzidownload kutoka kwnye blogs mbalimbali. Of course huu ulikuwa uwe mwendelezo wa mwandishi mmoja wa ccm aliyetoa analysis yake humu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Sijui ni mgongo wazi, au ni staili ya vazi lake lenye nakshi za kipepeo, au .....
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wakulu ijumaa ndio hiyo tena kesho October 1 pale VIP Diamond Jubilee Hall kutakuwa na Usikuwa Khanga za Kale Kama kawaida nitawaletea mapicha ya usiku huo wa Kanga atiii...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
wana jamvi, mwezi huu unatimiza Mwaka wa 11 sasa tangu Mwalimu atutoke. forever we will miss u MWALIMU
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani wewe unapopita mahali ukakuta watu wanampiga kibaka aliyekwapua simu wanamfanyia ukatil huu wewekama mwa JF unafanya nini??
0 Reactions
45 Replies
5K Views
0 Reactions
1 Replies
1K Views
jionee mwenyewe mi hoi...................!
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wakuu nimeiona hili bango la Mgombea wa CCM bwan Jk ikiwa imechakachuliwa .Inasemekana vijana wa CCM waliokuwa wanabandika ndio wameichakachua . Msg sent.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
What a striking image this will be - Anyone going to Brazil for the Olympics in 2016 ? Olympic Tower 2016... For Rio de Janeiro This vertical structure will be placed in Cotonduba Island...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
tunaambiwa mzee wa kukwepa kiatu kwa sasa mambo yake swaaaaafi; kifriji kinachomoza utadhani mtemi fulani wa kiafrika au mbunge wa bongo; huku akitumia muda mwingi kupiga soga na mkewe Laura...
0 Reactions
6 Replies
11K Views
Kampeni za uchaguzi wa rais wa Zanzibar, wawakilishi na madiwani zinaendelea kwa amani na utulivu huku vyama vya siasa vikipata fursa ya kupiga kampeni zao kwa amani na utulivu. Pichani...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Sunday, 26 September 2010 STOCKHOLM WHITE PARTY 2010
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Back
Top Bottom