Glori Samuel akimbeba mwanaye, Grace Kelvin (5), aliyedaiwa kutekwa nyumbani kwao Hedaru na watu wasiojulikana na baadae kukutwa eneo la Pasua Moshi alikokuwa amehifdhiwa na wasamaria wema...
Ikiwa katika maandalizi ya mwisho ya kurekodiwa movie inayokwenda kwa jina la MY DREAMS, Mastar kibao walioshiriki katika movie hiyo wamejikuta wakitambiana kila mmoja akisema atamfunika mwenzake...
Nameipenda hii, kwani mmmh haikuwa mchezo siku hio mana kwa wale wenzungu na mimi wanaweza kuhonga gari na nyumba, was very fine...... bongo kama ulaya tu bwana kwa walionazo.
Miss Ellie akiwa katika pozi baada ya kupata tuzo ya Mbwa mwenye sura mbaya zaidi duniani
MISS ELLIE, mbwa mdogo wa Kichina mwenye manyoya kiasi na mwenye kupendelea kutoa ulimi wake mrefu...
MAISHA YA WATANZANIA WALIO WENGI HUWA BADO NI KITENDAWILI KIGUMU KUKITEGUA. UKIWA HUNA KAZI, HALI MBAYA KULIKO KAWAIDA NA HATA UKIPATA KAZI NA YENYE CHEO ANGALAU CHA KURIDHISHA, BADO UKISTAAFU...
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa na fomu za kuomba chama chake kimchaguwe kuwa mgombea katika nafasi ya urais wa Zanzibar kwenye uchaguzi wa 2010 mara...
Source: GlobalPublishers
Kazi zingine ngumu sana ! Huyu Dada ni mlinzi kwenye kampuni fulani....jamaa wamemnasa akiwa amelala jua la mchana sijui analinda nini akiwa usingizini! Halafu akirudi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.