Jamii Photos

A collection of Community Photos brought to you by our members. Enjoy your stay!
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa vile wizi umekithiri nimeamua kuiga mfano huu! Maisha tena ndo hivyo!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Usafiri wa pikipiki nchini Pakistani Kinamama wa India Wafilipino Wachina wamezimwaga nyingi sana hapa nyumbani, zimepunguza tatizo la usafiri kwa kiwango kikubwa hasa maeneo ya nje ya jiji...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Katuni hii imenifurahisha sana, eti huu ni ukaguzi wa airport kama tumefika huku basi kweli dunia si mahala salama tena.. Angalia hii attachment au gonga hapa
0 Reactions
7 Replies
2K Views
... hostel maarufu UDSM main Campus. .
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Anaitwa Lakshmi mtoto huyu alizaliwa na miguu minne na mikono zaidi ya miwili iliyokuwa inazidi kuchomoza kila siku.,Lakini Mungu mkubwa alipofikisha miaka miwili akafanyiwa operation ya kumwondoa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nyumba mpya ya gavana wa bot inavutia lakini kulikuwa na umuhimu wa kuwa na nyumba kubwa na yenye dhamani kiasi hichi?
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kazi nyingine kwa kweli mh.....!
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kabla kakunyima lifti, baadae unakutana nae katika hali hii, akikuomba msaada utatoa?
0 Reactions
44 Replies
8K Views
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kumbe twiga akikuwa anakuwa hivi.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
mnakumbuka ndombolo ya solo?
0 Reactions
8 Replies
4K Views
hii kali maana jamaa wanalijenga taifa inavyotakiwa
0 Reactions
36 Replies
4K Views
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hope guys you are doing fine, nimedownload PDF Suite sasa inaniambia 15 days remaining for free trial nifanyeje niendelee kutumia?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Unaporuka majivu na kumbe....!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Maisha Bora bado ni kitendawili kwa wengi ya wapiga kura wa kutumainiwa huko mijini na vijijini. NI KATIKA NCHI AMBAYO WENGINE WANAZAIDI YA JOZI ISHIRINI YA VIATU!
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom