Kumezuka tabia ya wananchi kutupa taka mahali popote (mfano kando ya barabara) na tunaona ni jambo la kawaida. Hakuna anayejali kwani tunachukulia kuwa si jukumu letu. Nani alaumiwe na kitu gani...
Bendela hizi hapa chini zinatia aibu. Zimechanika na bado zimeng'ang'ania mitini:D
Moja ni bendela ya halmashauri ya wilaya ya Muleba mkoani Kagera.
Ya pili ni bendela ya sisi m. imekutwa kwa...
Siku hizi kuna mitindo ya kutisha ya kudensi. Hii nayo kali mpaka ina
world cup yake eti mitaa ya South America. Kazi kweli kweli wanajamii!
The Miss Pole Dance Argentina 2009 competition was...
Naona hata huku kwetu ndio ofisi kama hizi zimeanza, Yaani ukifika hapo au maeneo hayo kama wewe ni mgeni usome bango hilo katika picha.
Kuuliza sh. 500
Kupelekwa sh. 1000
Kukaa sh. 100
Jina lake linatumiwa kuwababaisha Watanzania
• Linatumiwa kujilinda dhidi ya hasira za umma
• Ni kwa madai ya kuendeleza amani na utulivu
TAREHE 14 Oktoba mwaka huu unatimia...
Wakati Tanzania kukiripotiwa matukio mbalimbali hasa ya ajali za moto, leo nimenasa tukio lingine majira ya saa 8:50 mchana (2:50PM) katika eneo la Iyunga karibu na kituo cha garimoshi cha TAZARA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.