Naomba mtu atakayekuwa na picha/ramani ya vibanda vilivyojengwa kwa miti ila vyenye ghorofa kwa ajiri ya Pub atuwekee jukwaani.
Itapendeza kama anafaham na mchanganuo wa ujenzi wake.Asanteni...
Wakuu mara kwa mara nimekua nikiona picha ya huyu jamaa ikipostiwa mitandaoni, kwa mwenye kujua anijuze.
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.