Wadau huyo aliyeshika mtoto ni baba mzazi wa huyo mtoto.Amekuwa haamini kwamba huyo mtoto ni wake hivyo anaomba ushauri wa kupima DNA je wewe unamshauri nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ni muonekano baada ya kukamilika litakavyokuwa nimechanya maneno ya kuambiwa na wanasiasa,ubunifu Wa injinia mfugale na akili zangu nikapata kitu kama hicho samani lakini kama nimekukwaza...
Natamani nifike mahala hapo.Nani humu ashawahi fika kwenye kisiwa hiki kidogo cha Bongoyo.Kiko pembezoni mwa Masaki.Na je unafikaje kule?kuna kulipia kama utalii wa ndani au ni nauli yangu tu.Na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.