Estate Agent alipofika kuiangalia aliamua kupiga picha hizi. Kwa miaka 72 ameweza kuitunza nyumba katika hali hii. Mume wake ameshafariki na watoto wote wana maisha yao.
Jamaa alikuwa mbunifu sana enzi zake tulikumbushana ya zamani sisi wahenga ingekuwa Leo ningemtumia story Freeman Mbowe kwa picha hii
State agent
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipindi nasoma tulikua tukiambiwa “You’re the leaders of tomorrow”. Ila cha ajabu mpaka sasa “tomorrow” wale jamaa bado tu wamenga’ngania madaraka!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchezaji wa kimataifa wa Nigeria Joseph Donatus Edafe, amefukuzwa toka timu ya ND Gorica ya Slovenia baada ya kumtia mimba mtoto wa rais wa timu hiyo miezi sita baada ya kusaini mkataba wa miaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.