Bado yupo kwenye ubora wake na sasa ameibuka na kushamili kwa demokrasia hapa kwetu.
Tuchambue nini huyu nguri wa habari picha tuone ana maanisha nini kwenye maisha yetu ya kila siku.
Sisi wana CCM pamoja na shida zoote tunazo zipata lkn hatujali maana tumeipenda wenyewe.
Nyie wapinzani mnao ikosoa CCM naona mnatuonea wivu tu na mtuwache tuendelee na maisha yetu bora haya...
Nurse Nina Pham aliekuwa kapata maabukizi ya Ebola baada ya kusibitika Dawa imemsaidia na sasa amepona Ugonjwa huo alipoenda kumtembelea Rais Ikulu.(Sasa kama vipimo vimepepesa macho Obama shauli...
Habari za wakati huu wana JF?
Mimi mdogo wenu eliahadi ni mzima kabisa .
Nimekutana na hii picha mahali.kwa wanojua uchambuzi wa hizi kazi tunaweza kushare
mitazamo na vitu vingine .
Karibuni...
Swali la mwandishi wa ITV:
..............................................
Kwanini wapinzani wanalalamika kuhusiana na uchaguzi huu ?
Jibu la Bashiru Ally :
...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.