Wadau hamjamboni nyote?
Nawaletea habari kwa picha za RC Mstaafu ( Arusha, Mwanza & Mara) Mhesh Magesa Mulongo
Tafadhali endelea kutupia picha zake na sio lazima utoe comment yeyote
Karibuni
Mimi nilikutana na huu mto nikavutiwa na mazingira yake nikaamua kupiga picha.Huu unaitwa mto nzovwe.Sio lazima yawe mazingira tu bali kitu chochote ambacho kilikufanya uwe interested...
Ebana wanajamvi inakuwaje?
Hii picha ya Mwijaku aliyoipiga akiwa Mecca kwenye ibada ya Hija inamuenesha karibu yake akiwa na mtu anafanana kabisa na Boss wa kundi la kigaidi Hamas Ismail Haniyeh...