Yani hawa watu wanatafuta huruma kwa swagger za ajabu, kukera na za kishamba.
Kwenye hiyo picha hapo chini utadhani amefunga goli anashangilia. Kumbe ni swagger uchwara mbele ya camera.
R.I.P...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.