Eti wana haya si ndio katika yale!?Nimekaa nikawaza tu kwa sauti..Hivi hakuna uwezekano wa kurekebisha hii sheria ili itoke kwenye miaka30 iwe ata mitatu(3)na nusu??
@NgarenaroBoy.
Haka kajamaa kanaoa huyo mwanamama.
Sasa najiuliza je, ni kweli amekapenda kamshikaji au ni kujitoa kimasomaso a.k.a kutoa gundu? Maana huo mzigo naona kama ni over size
Hii Picha imechukuliwa katika mmoja ya nchi kutoka mabara makubwa manne 1. Africa 2. Ulaya 3> America Kusina na Kaskazini na mwisho Bara la Asia.
Ningeomba mwenye kujua ategue hiki kitendawili...
Nawaombeni wale wenye ujuzi na bahati ya kuwa na akili ya kusoma habari picha mnisaidie nini maana na ujumbe uliomo kwenye hii picha ya msanii Kipanya.
Huyu dogo, Ansu Fati,ana umri wa miaka 16. Tayari anachezea Barcelona na amefunga goli na kuwa mchezaji mdogo kupita wote kuwahi kufunga goli pale Barca.
Sasa usiniulize nilikuwa nafanya nini...
Kama unavoona mtazamaji wa Chugastan TV,huyu ni Chaliangu Mwakiposile Mwakajana akiwa na Mamilox ake anaeitwa Andongolile Mwakakesho.
Ama kweli ule usemi wa mkipendana zaidi lazima mfanane hatimae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.