Kwa kweli nilivyotazama hii picha nikadhani Nape kazeeka ghafla ila nilivyoitazama kwa makini nikagundua ni profeesor. Nataka kujua kama hawa wana uhusiano wowote?
Naleta tena hoja hii hapa jukwaani, nimekuwa nikifuatilia mashindano yanayoendelea huko Misri Timu nyingi nyimbo zao zinapoimbwa hatusikii neno Africa mwanzoni bali ni nyimbo zinazochochea ari na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.