Mwenye duara ni mkurugenzi mtendaji wa benki ya CRDB akiwa katika pozi la unyenyekevu wa hali ya juu... Yani ni pozi la kibiashara.
Ila ukiangalia kwa haraka haraka huwezi amini kuwa yeye ndiye...
Technology inazidi kukua sana, hiyo ni picha iliyopigwa mji wa Shanghai china. Ina resolution ya 195 GIGAPIXEL. unaweza ukazoom mpaka plate no# za gari zikajaa kwenye screen na picha isiharibike...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.