Huu ni mfano tu wa uhuni huo ila kuni uhuni nyingine nyingi sana.
Pale mwalimu anapomwambia mwanafunzi Avue sweta akague usafi wa shati lake la ndani na hicho ndio anachokikuta,
Uuh uhuni...
Katuni za Masoud sio za kuudhi kama zile za Gado ila ujumbe wake ni powerful.
Zipo subtle ila zinaeleweka kwa mtu yeyote average...
Utabiri wake ni wa ku appreciate ila art hiyo iliyotumika...
Serikali ya Tanzania imekuwa ikipambana na kuhakikisha shirika letu la ndege linafufuliwa kwa gharama yoyote ili tuweze kuhakikisha tunakuwa na ndege zetu wenyewe kama tunayo ona kwa wenzetu...
Huyu ni mwanasiasa kijana na msomi pia ni meya wa manispaa ya Ilala, Dar es Salaam, Tanzania. Aliyeyofanya Ilala yanaonekana kwa macho na wala huitaji kuandika hapa.
Pichani akitoa msaada wa...
Ndugu wanajamvi.
Kweli teknolojia ni raha sana hasa unapoona tukio lolote au liwe jipya kwako.
Nawasihi msiruhusu kutokea kitu kama hiki hapa chini, ilikuwa ni video ila nimeshindwa kuitoa ilipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.